Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Dah kweli hakuna bt labda kuna wahuni wameliondoa juu kwa juu
Wataliweka sawa tuKwa wahuni kuondoa hicho kipengele sidhani kiongozi.
Nafkiri walijisahau kuweka hiyo na nafasi na mpaka tangazo linaenda hawakuhakiki vizuri mwanzo mpaka mwisho wa tangazo kwa kila kada husika mkuu.