Tangazo La Kazi : Nafasi za Kumwaga.

Tangazo La Kazi : Nafasi za Kumwaga.

Jamani naombeni kufahamu mimi ni mwanafunzi chuo katika course ya umeme wa majumbani sasa nilitaka nifahami ni kampuni gani zinahusika na kazi hii ukiacha na tanesco
 
Qualifications za AFISA VIPIMO DARAJA LA II (Nafasi 150)-Shahada au Stashahada ya juu katika fani ya Metrolojia (Degree/Advanced Diploma in Legal and Industrial Metrology) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.Source-Utumishi
 
N kawaida kuona nafasi 1 ya kazi wanaita Interview watu 200+ sasa hy ya watu 150 unadhani wataitwa wangapi.?
As long as wote wanastahili siyo ishu sana,Ishu ni kuwaacha wanaostahili na kuwaita wasio stahili.
 
Nafasi za udereva zingekubalika kuombwa hata na watu wa diploma au shahada,,, aiseee kwa ground huku mambo ni magumu sana
 
Nafasi za udereva zingekubalika kuombwa hata na watu wa diploma au shahada,,, aiseee kwa ground huku mambo ni magumu sana
Kwani shida yako nini mkuu?usipeleke hivyo vyeti vya shahada Peleka cha F4,kwank kuna mtu atakukatalia akuambie nilikuona chuoni
 
N kawaida kuona nafasi 1 ya kazi wanaita Interview watu 200+ sasa hy ya watu 150 unadhani wataitwa wangapi.?
Ajira nyingi za siku hizi ni hadaa tupu!!kila kitu kimekuwa siasa!!ngoja uone ni lini wataitwa!!yaani ajira 150 kwa wakati mmoja tena madereva!!!hahaaa
 
Wakuu.
Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo.
1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150.
2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55

Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March.
Changamkieni Fursa.
Pitia hapa kwa maelezo zaidi.
www.portalajira.go.tz
KUMWAGA NINI? HUJAFAFANUA. UMESEMA TU KAZI ZA KUMWAGA
 
Back
Top Bottom