Hakuna kuwawekea..waende wenyewe ajira portal...wawekee watu qualification...cc Ushimen
N kawaida kuona nafasi 1 ya kazi wanaita Interview watu 200+ sasa hy ya watu 150 unadhani wataitwa wangapi.?Kwanini mkuu?
As long as wote wanastahili siyo ishu sana,Ishu ni kuwaacha wanaostahili na kuwaita wasio stahili.N kawaida kuona nafasi 1 ya kazi wanaita Interview watu 200+ sasa hy ya watu 150 unadhani wataitwa wangapi.?
Itakuaje kama waliokidhi vigezo ni 300 halafu wanaohitajika ni 150As long as wote wanastahili siyo ishu sana,Ishu ni kuwaacha wanaostahili na kuwaita wasio stahili.
Ukitumia commonsense utaelewa mkuu,wala haiitaji akili nyingi.Itakuaje kama waliokidhi vigezo ni 300 halafu wanaohitajika ni 150
Kwani shida yako nini mkuu?usipeleke hivyo vyeti vya shahada Peleka cha F4,kwank kuna mtu atakukatalia akuambie nilikuona chuoniNafasi za udereva zingekubalika kuombwa hata na watu wa diploma au shahada,,, aiseee kwa ground huku mambo ni magumu sana
Ajira nyingi za siku hizi ni hadaa tupu!!kila kitu kimekuwa siasa!!ngoja uone ni lini wataitwa!!yaani ajira 150 kwa wakati mmoja tena madereva!!!hahaaaN kawaida kuona nafasi 1 ya kazi wanaita Interview watu 200+ sasa hy ya watu 150 unadhani wataitwa wangapi.?
Ajira Portal inatia ngumuKwani shida yako nini mkuu?usipeleke hivyo vyeti vya shahada Peleka cha F4,kwank kuna mtu atakukatalia akuambie nilikuona chuoni
KUMWAGA NINI? HUJAFAFANUA. UMESEMA TU KAZI ZA KUMWAGAWakuu.
Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo.
1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150.
2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March.
Changamkieni Fursa.
Pitia hapa kwa maelezo zaidi.
www.portalajira.go.tz
TBA nao bado hawajatangaza tukapige pesa hukoJamani naombeni kufahamu mimi ni mwanafunzi chuo katika course ya umeme wa majumbani sasa nilitaka nifahami ni kampuni gani zinahusika na kazi hii ukiacha na tanesco