Tangazo la Kazi wizara ya fedha

Tangazo la Kazi wizara ya fedha

camila

New Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
3
Reaction score
0
Habari za asubuhi wana JF i have come accross these vacancies from MOF deadline ni tarehe 31 december 2009 nadhani mwaka unaisha vizuri.

Please share widely
 
Attachments

camila Junior Member
Join Date: Mon Jul 2007
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post

VP ZA MIAKA, ULIPOTELEA WAPI??
ASANTE KWA KUTULETEA KAZI!.
KARIBU SANA MKUU JAMVINI!!.
 
Joji poji usingalie makunyanzi wengine tunakaa vijiji mtandao tabu kweli kweli, nafasi km hizi zina post zinakuja mara chache chache km hivi. Asante kwa kazi kubwa ya ujenzi wa taifa mkuu
 
joji poji usingalie makunyanzi wengine tunakaa vijiji mtandao tabu kweli kweli, nafasi km hizi zina post zinakuja mara chache chache km hivi. Asante kwa kazi kubwa ya ujenzi wa taifa mkuu
pamoja pamoja mkuu nimekupata!!.
Karibu mjini!.
 
Asante sana....ngoja tuwashauri ndg na jamaa waombe
 
Nashukuru kwa taarifa hii ya nafasi za kazi nafuatilia leo nijaribu bahati yangu.
 
habari za asubuhi wana jf i have come accross these vacancies from mof deadline ni tarehe 31 december 2009 nadhani mwaka unaisha vizuri.

Please share widely

thanks mdau, ila kuna hii post na. 15 haileweki wanataka "engineer" katika FANI ipi, is it civil, mechanical, electrical OR...........???
 
Thanks a lot dear,
itatusaidia wengine tulio kwenye harakati za kutafuta ajira
 
Ahsante sana kwa kutupa taarifa hizi, itatusaidia sisi ambao tupo katika soko la ajira
 
Joji poji usingalie makunyanzi wengine tunakaa vijiji mtandao tabu kweli kweli, nafasi km hizi zina post zinakuja mara chache chache km hivi. Asante kwa kazi kubwa ya ujenzi wa taifa mkuu
unakaa kijiji gani?
 
thanks mdau, ila kuna hii post na. 15 haileweki wanataka "engineer" katika FANI ipi, is it civil, mechanical, electrical OR...........???

soma yale maelezo ya kazi za kufanya utapata tu kama unafiti au hufiti
 
Back
Top Bottom