Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
- Essence Driving Schools
Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika
Sifa
1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja
2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo
3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii
4. Muonekano unaoendana na nafasi ya kazi
5. Utayari wakuingia kazini kuanzia saa 12:30 asubuhi hadi saa 12:00 jioni kwa- kila siku isipokuwa jumapili au kutokana na sababu zingine anaweza kulazimika kufika siku ya jumapili pia
Mahali pa kazi kitakuwa ni Goba/Mabibo/Tegeta au sehemu yeyote ndani ya Dar Es Salaam kadri itakavofaa
Mshahara
Itakuwa ni TZS 300,000 kama malengo yatafikiwa
utapata bonasi ya hadi TZS 15,000/- kwa- wiki kama lengo la wiki litavuka
Utakatwa TZS 10,000/- kwa- wiki kama lengo halitofikiwa
Kiwango cha Elimu
Kuanzia kidato cha nne, hata hivo wenye uwezo wa kuongea na kushawishi ndo watapewa kipaumbele
NB: Wenye sifa hapo juu watume CV zao kupitia email: manager@flydream.co.tz na kwa- WhatsApp namba 0765374146
Mwisho wa kutuma maombi ni Jumatano tarehe 12/10/2022