paxbrothers
New Member
- Nov 17, 2022
- 2
- 2
TANGAZO LA AJIRA
PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa
Cheo – msimamizi MKUU na mtawala.
SIFA
- muombaji anatakiwa kuwa na Diploma na kuendelea katika fani zifuatazo. Accounting , Business Administration ,Marketing , Law, Human Resource management au Public Administration
- Awe na umri usiozidi miaka 35
- Awe na uzoefu wa usimamizi wa biashara inayoanza
- Awe tayari kuishi wilaya ya Mbozi
- lazima awe na leseni ya udereva
- Anapaswa na kuwa na ujuzi wa computer
- Awe anajua kuongea kingereza na Kiswahili kwa ufasaha
- kusimamia nidhamu na usafi wa wafanyakazi wote na mazingira
- kusimamia malengo ya kampuni na kuyaishi
- kusimamia utendaji kazi wa wafanyakazi
- kutoa ripoti kwa wakurugenzi kwa wakati
- kusimamia matumizi ya kila siku
- kushauri,kupanga malengo ya kampuni
- kusimamia ubora wa bidhaa kabla ya kwenda sokoni
- kutafuta masoko mapya
- kukabidhiana bidhaa na wasambazaji
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 2.12.2022