Tangazo la kifo

Tangazo la kifo

Pole sana mkuu kazi ya Mungu haina makosa ni njia yetu sote tatizo ni kwamba tunatanguliana na kuacha wengine wakiwa bado wanakuhitaji.
R.I.P
 
Poleni sana, Mungu awape faraja wote zaidi mume wa marehemu
 
Pole sana Dr na wape pole zetu familia ya marehemu.Rest in Peace Prisca.
 
Back
Top Bottom