MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
ni nani huyu bwana?
sukari hiyo.for sure ndio mara nyingi unaishiwa nguvu.Pole sana ndugu na jamaa wote kwa msiba huo! R.I.P Silas
Learning point: ''Alijisikia kuishiwa nguvu akiwa hotelini'', Je, hii ni dalili ya ugonjwa gani wandugu? Sukari, stroke/Blood pressure?
Pole sana ndugu na jamaa wote kwa msiba huo! R.I.P Silas
Learning point: ''Alijisikia kuishiwa nguvu akiwa hotelini'', Je, hii ni dalili ya ugonjwa gani wandugu? Sukari, stroke/Blood pressure?
poleni sana wafiwa ,may his soul rest in peace,
alikuwa tanzania railways au trl?
sukari hiyo.for sure ndio mara nyingi unaishiwa nguvu.
Marehemu alikua aki sumbuliwa na kisukari miaka kumi na.