Tangazo la kifo

Tangazo la kifo

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,565
Reaction score
843
Ndugu wanaJF nasikitika kutangaza kifo cha Silas Thomas Kibwana wa Temboni kilicho tokea juzi majira ya saa kumi na moja jioni hivi. Marehemu alikua mkutanoni Morogoro. Akiwa hotelini ghafla alijisikia kuishiwa pumzi na kupiga simu reception. Marehemu alikutwa na mauti muda mfupi baada ya kufika hospitalini. Natuma huu ujumbe mtandaoni kama kuta kuwa na ndugu, jamaa na marafiki zake ambao wapo JF na kwa sababu moja au nyingine hawa kupata taarifa.

Kama kuta kuwa na yoyote mwenye swali nita pita humu ndani kadri ya uwezo wangu ili kujibu maswali. Marehemu ana safirishwa kwenda kwao Lutindi, Korogwe kesho. May his soul rest in eternal peace.
 
Pole Zangu Kwa Familia Na Marafiki.

R.I.P.

Steve Dii
 
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu!
Poleni sana wafiwa
 
Asante kwa taarifa ya msiba.
marehemu alale pema
 
Pole sana ndugu na jamaa wote kwa msiba huo! R.I.P Silas

Learning point: ''Alijisikia kuishiwa nguvu akiwa hotelini'', Je, hii ni dalili ya ugonjwa gani wandugu? Sukari, stroke/Blood pressure?
 
Poleni sana wafiwa ,May his soul rest in peace,
alikuwa Tanzania Railways au TRL?
 
Pole sana ndugu na jamaa wote kwa msiba huo! R.I.P Silas

Learning point: ''Alijisikia kuishiwa nguvu akiwa hotelini'', Je, hii ni dalili ya ugonjwa gani wandugu? Sukari, stroke/Blood pressure?
sukari hiyo.for sure ndio mara nyingi unaishiwa nguvu.
 
may almight God rest him in peace!!!!!!!!
 
Pole sana ndugu na jamaa wote kwa msiba huo! R.I.P Silas

Learning point: ''Alijisikia kuishiwa nguvu akiwa hotelini'', Je, hii ni dalili ya ugonjwa gani wandugu? Sukari, stroke/Blood pressure?

Marehemu alikua aki sumbuliwa na kisukari miaka kumi na.
 
apumzike kwa amani, raha ya milele umpe eeh bwana.
 
Back
Top Bottom