Tangazo la kifo

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
Tunasikitika kutangaza kifo cha CCM kilichotokea baada ya kuibuka kwa CHADEMA. Marehemu atazikwa 31-10-2010 (kesho). Habari ziwafikie mjomba wa marehemu CUF, dada wa marehemu TLP, mdogo wa marehemu NCCR, mafisadi papa, ndugu jamaa na mafisadi wote popote walipo. Misa ya kutakasa ikulu ya nyerere itakuwa 01-11-2010. Tunawapa pole wafiwa wote wa hunu jamvini.

(msg nimekutana nayo kwenye simu yangu nika’edit kidogo)
 
Jamani poleni sana kwa msiba uliowafika. Hata hivyo ilikuwa ni kifo cha mabadiliko na kifo chenye washangiliaji wengi kuliko waombolezaji
 

Duh hii kali.
 
hahahahahaha,tangazo hili limewajia kiwa hisani ya watu wa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…