zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
(msg nimekutana nayo kwenye simu yangu nikaedit kidogo)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasikitika kutangaza kifo cha CCM kilichotokea baada ya kuibuka kwa CHADEMA. Marehemu atazikwa 31-10-2010 (kesho). Habari ziwafikie mjomba wa marehemu CUF, dada wa marehemu TLP, mdogo wa marehemu NCCR, mafisadi papa, ndugu jamaa na mafisadi wote popote walipo. Misa ya kutakasa ikulu ya nyerere itakuwa 01-11-2010. Tunawapa pole wafiwa wote wa hunu jamvini.
(msg nimekutana nayo kwenye simu yangu nika'edit kidogo)