Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

Edna kahema

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
7
Reaction score
4
Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary

Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule

Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss

Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627 826 480
 
Mbona vigezo vya elimu hujaweka mkuu...
Duka la madawa sio bar mzee
 
Utapataje leseni bila kuwa na elimu husika au unafikiri anazungumzia leseni za udereva ambapo shemeji yako anakuletea mezani tuu?
Unataka Addo,
Pharm Technician
Au Pharmacist? Hao wote wana leseni
 
Back
Top Bottom