Tangazo la kondom na kuchochea ngono

MFILIPINO

Senior Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
157
Reaction score
11
Wana JF kuna lile tangazo la kondom la salama mi naona linahamasisha ngono kwa jinsi msichana anavyowaza ngono na kujiandaa kwa shughuli hiyo,isitoshe binti mwenyewe mrembo! TACAIDS mpo wapi? muwe regulators wa haya matangazo its too shame hasa ukiwa na watu unaowaheshimu i.e baba,mama, watoto.
 
ukweli mtupu umenena; ndo maana watoto wanafeli matangazo kama haya yanachangia sana
 
Tatizo watanzania mkionyeshwa ukweli hampendi huo ndio ukweli wenyewe na watoto wanatakiwa waelewe. Ndio maana zamani tulikuwa tunajua mtoto anaokotwa baharini sababu ya kufichaficha mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…