am a girl ni dume linalojifanya kuwa ni jike mkuu!!........JF kuna mengi![emoji30]
Kisa we ni jike unaejifanya dume unafikiri wote ni hivyo.am a girl ni dume linalojifanya kuwa ni jike mkuu!!........JF kuna mengi![emoji30]
Ya kweli mkuu?am a girl ni dume linalojifanya kuwa ni jike mkuu!!........JF kuna mengi![emoji30]
Embu fikiria kidogo mkuu!Hapana Mkuu hebu funguka kuhusu huyo Bubu ataka kusema Mkuu. LOL!
Bei za bando ni anasa ckuiz.....scorpio me nae haonekani kabisa Jukwaani.
Mhhh ina maana lile swali nnPascal mayalla na benn saa8.
swissme
Waliunganisha pascall mayalla na pasco na id kuwajee sasaPascall Mayalla tangu waunganishe ID yake hii na ile nyingine uchangiaji wake hapa umekuwa ni finyu sana.