Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Walienda cuba kumzika castro wamekula nauli hawajui wanarudije
 
Game Theory
Mtu wa pwani
Kuhani
Nyani Ngabu
Kiranga
Kahtaan
Mwanajamiione
Shossi5
Dr Riwa
Mzee mwanakijiji
Madame X
Gsfowin
Malaria Sugu
AshaDii
Lolapaloooza
Lizzy
Baba Hilo Nyani Ngabu lipo kila day... JF ndio sebuleni kwake ma user wa mwanzo na kina Field Marshal
MwanajamiiOne true huyu kitambo sana sikuhizi naona kama mtazamaji tu analea mapacha wake
Dr.Riwa kakimbizwa na na Mzizimkavu kamzidiwa maana Mzizi ana dawa zake.
madame x ndie Madame B
AshaDii nae kitambo simsikii
Lizzy wa MMU
kahtaan nadhani yupo Ustaadhi
 
NA TUKIO LA LEOO

TutAWATAFUTA WENGI TU LOH list inaongezeka
 
Huyu aliolewa umangani na inaelekea njemba yake ina wivu wa kufa mtu labda ndiyo sababu muda wa kuingia huku haupo tena.

Gaijn naye pia kitambo
 

John Mashaka
Game Theory
Kuhani
Field Marshal
Kiranga
Nyakageni
Fadhili Paulo
Maxi Shimba
Young Corporate
Kobelo


Ila kwa tukio la kuhuzunisha la leo nahisi tutapotea wengi

Hata mzee Mwanakijiji kapotea
 
John Mashaka
Game Theory
Kuhani
Field Marshal
Kiranga
Nyakageni
Fadhili Paulo
Maxi Shimba
Young Corporate
Kobelo


Ila kwa tukio la kuhuzunisha la leo nahisi tutapotea wengi

Hata mzee Mwanakijiji kapotea
Leo nadhani server ipo kwa wenyewe Muhimu watu wawe wasastaarabu upuuzi haswa wa kuzusha na kejeri tuacheni am sure tutapotea wengi kama me soon nitasepa

@Binti.com Power G
 
Kuna huyu aliyeitwa Yo Yo alikuwa korofi na kuna siku ilidhaniwa ni mimi so thread zangu zikahamishwa kwake ikanibidi nifungue ID hii ya Sasa... and then alipotea kabisa kama hajandei basi ana id nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…