Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@BigShow majuzi kati tu Nimemuona NaMoh'd said, big show
Kwenye roll call hupatikani... Hawajambo Yaeda Chini au umehamia Endasaki!
Baba Hilo Nyani Ngabu lipo kila day... JF ndio sebuleni kwake ma user wa mwanzo na kina Field MarshalGame Theory
Mtu wa pwani
Kuhani
Nyani Ngabu
Kiranga
Kahtaan
Mwanajamiione
Shossi5
Dr Riwa
Mzee mwanakijiji
Madame X
Gsfowin
Malaria Sugu
AshaDii
Lolapaloooza
Lizzy
Nyani Ngabu yupi.... Mbona yupo humuGame Theory
Mtu wa pwani
Kuhani
Nyani Ngabu
Kiranga
Kahtaan
Mwanajamiione
Shossi5
Dr Riwa
Mzee mwanakijiji
Madame X
Gsfowin
Malaria Sugu
AshaDii
Lolapaloooza
Lizzy
Bora ameondoka zake NA hilo sekeseke la Melo kuitwa central.....i am missing Kiranga.
jamiiforums mmemtendea vibaya sana huyu jamaa.
ona sasa, tunakosa madikodiko yake.
Gaijn naye pia kitambo
Baba Hilo Nyani Ngabu lipo kila day... JF ndio sebuleni kwake ma user wa mwanzo na kina Field Marshal
MwanajamiiOne true huyu kitambo sana sikuhizi naona kama mtazamaji tu analea mapacha wake
Dr.Riwa kakimbizwa na na Mzizimkavu kamzidiwa maana Mzizi ana dawa zake.
madame x ndie Madame B
AshaDii nae kitambo simsikii
Lizzy wa MMU
kahtaan nadhani yupo Ustaadhi
Leo nadhani server ipo kwa wenyewe Muhimu watu wawe wasastaarabu upuuzi haswa wa kuzusha na kejeri tuacheni am sure tutapotea wengi kama me soon nitasepaJohn Mashaka
Game Theory
Kuhani
Field Marshal
Kiranga
Nyakageni
Fadhili Paulo
Maxi Shimba
Young Corporate
Kobelo
Ila kwa tukio la kuhuzunisha la leo nahisi tutapotea wengi
Hata mzee Mwanakijiji kapotea
Leo nadhani server ipo kwa wenyewe Muhimu watu wawe sastaarabu upuuzi haswa wa kuzusha na kejeri tuacheni am sure tutapotea wengi kama me soon nitasepa