Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Ameona labda akikaa kimya anaweza kupewa kau-DC ka ubungo.Pascall Mayalla tangu waunganishe ID yake hii na ile nyingine uchangiaji wake hapa umekuwa ni finyu sana.
Nipo mkuu....usiwatie presha followers wangu wa Insta na Jf.
Halafu imekuwaje nimekuja sijakukuta?Nipo mkuu....usiwatie presha followers wangu wa Insta na Jf.
Tatizo lako unakuja kwa kunyata kama unamnyatia mwali, kumbe unalinyatia jitu lililokula chumvi na bahari yake.Halafu imekuwaje nimekuja sijakukuta?
mhPascal mayalla na benn saa8.
swissme
Yaani deni ndo ubadili ID....! ungekuwa unamiliki mtandao si ungehama kabisa mjiAaah
Sasa hapo wasije wakaziunganisha, kuna watu wana nidai humu.
Ila nimefurahi mna nikumbuka [emoji23]
Mkuu nilibanwa ikabidi nitafute id mpya tuYaani deni ndo ubadili ID....! ungekuwa unamiliki mtandao si ungehama kabisa mji
Huyo ni miongoni mwa wakurugenzi wa juu wa JF!