Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Kiranga aliaga,walimpiga ban akamaindi,kasepa kimoja
Ha ha ha Mkuu hatari sana.. walinipiga ban siku ya sikukuu nilimaid

Siku ambayo nilitakiwa nitoe salamu kwa wanaJF, nilitaka nipotee
 
Haya nimekuja nasikia umeniita...
Tumekumiss na yale Mastory yako matamu matamu tukiyachangia huku tunakumendea na ulivyo mgumu dah Njoo tena awamu hii ilivyo ngumu kumendeana kumeisha Maana hamna hela
 
Tumekumiss na yale Mastory yako matamu matamu tukiyachangia huku tunakumendea na ulivyo mgumu dah Njoo tena awamu hii ilivyo ngumu kumendeana kumeisha Maana hamna hela
Nitakuja kuanzia January 2017
Nisubirini tafadhali nitakuja kivingine
 
Wengine wameibukia kwenye kutoa rambirambi kwa yule mwana j.f mwenzetu long time jamaa kumbe huwa wanasoma na kusepa hawa nina wasiwasi nao watakuwa watu wa kazi wamebanwa
 
Nipo jmani nimebadlisha ID... Jina langu ni moja yaliyotajwa hapo juu. Tuko pamoja ndugu zangu
 
masanilo na fiel marshal sauti ya umeme,mzee wa NYC siku hizi kawa mzee wa mnazi mmoja kazi ipo
 
Tuweke kipindi maalumu cha muda....kama mwaka hivi. Mdau asipoonekana atangazwe kama mfu.
Pia lianzishwe jukwaa la kuwakumbuka ndugu zetu marehemu.
 
Paloma
Nivea
Lady doctor
Smile
Snail
Mr Rocky
Cacio
Tembosa
Mrembo by nature
Lady in action
Binti.com
Binti kiziwi
Sunsharie
Kalunguine

Mwaj wa ukweli niliifuma ID yake mpyaa

Ila namtafuta sana UncleBen . Niliifurahia michango yake JF.
Smile .amekimbia huku na kijijini haonekani.
 

Hapo Pichani wa kwanza ni Asha Dii, The Finest , Rejao babu kumbe, Paschal Mayalla( A.K.A Njaa - by Magufuli) Melo,

Hahaha Natania hii kitu ingefanyika kwa Dena amsi familia ingepata faraja sana haswa mtoto wake wa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…