Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
anikaKisa we ni jike unaejifanya dume unafikiri wote ni hivyo.
Au nianike ya PM hapa[emoji53]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anikaKisa we ni jike unaejifanya dume unafikiri wote ni hivyo.
Au nianike ya PM hapa[emoji53]
Ha ha ha Mkuu hatari sana.. walinipiga ban siku ya sikukuu nilimaidKiranga aliaga,walimpiga ban akamaindi,kasepa kimoja
Nitakuja kuanzia January 2017Tumekumiss na yale Mastory yako matamu matamu tukiyachangia huku tunakumendea na ulivyo mgumu dah Njoo tena awamu hii ilivyo ngumu kumendeana kumeisha Maana hamna hela
Huyu mtu namkumbuka sana kama ana ID nyingine ani PM.
Smile .amekimbia huku na kijijini haonekani.Paloma
Nivea
Lady doctor
Smile
Snail
Mr Rocky
Cacio
Tembosa
Mrembo by nature
Lady in action
Binti.com
Binti kiziwi
Sunsharie
Kalunguine
Mwaj wa ukweli niliifuma ID yake mpyaa
Ila namtafuta sana UncleBen . Niliifurahia michango yake JF.
Mja ndio nini? Waeza nieleza at least kwa English kiswahili cha ndani ndani kwangu kidogo kinanisumbuaHakika mja mwema hujulikana kwa kauli zake.