Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja

DENNIS255

New Member
Joined
Jul 6, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja Bwejuu Zanzibar, wanatakiwa vijana 25 wake kwa waume, raia wa Tanzaia , wenye namba za nida, waliopita mafunzo ya JKT au mgambo urefu ni futi 5.8 na kendelea, wenye simu janja zenye version ya android kuanzia 10, aidha waombaji wanatakiwa kutuma barua za maombi wakiambatanisha na CV, barua za utambulisho wa serikali ya mtaa au kijiji na barua mbili za wadhamini,

Maombi yote yatumwe kupitia namba ya whatsapp +255683421913 au
Email [email protected]

NB: nafasi hizi ni bure zinatolewa bila malipo
 
Tuseme ukweli tu mnawanyanyasa sana vijana kwenye malipo
Utakuta jamaa anawaajiri vzr tu ikifika siku ya malipo anaanza kumwambia boss huyu kijana nimemtoa bara kwa nauli yangu wakti alikua apo kwerekwe tu mwisho wa siku mnawakata sana vijana pesa zao ushahidi ninao wala sisemi uongo
Watanganyika wenzenu walokuja huku Zenji mapema ndo wanawafanyia watanganyika wenzao hivi

Nb; jiulize tu kampuni kwanini iajiri kiasi kingi cha watu kma hivi ?
 
Hawa mm nawajua kinaga ubaga na sio mara ya kwanza kuajir watu wengi hivi.. hawa wana kamradi kao kamawabeba vijana kanwajaza pale kilimanjaro kibao cha simba kanawkimbiza jogging jioni bichi kule.

Mwisho wa siku wanaajiriw watu wachache kwelikweli pale na wengine wanawarudishaga dar bila malipo yoyote. Kuna madogo mpaka leo wanajuta na hako kamradi kao ka kuchukua watu 25. Hawq ni kenge tu
 
Watanganyika wenzenu walokuja huku Zenji mapema ndo wanawafanyia watanganyika wenzao hivi

Nb; jiulize tu kampuni kwanini iajiri kiasi kingi cha watu kma hivi ?
Yumkini waliokuwepo wameletewa zengwe wakafukuzwa wote sasa wanatafuta wengine wa kuwadhulumu?
 
Kampuni za ulinzi za ovyo ovyo wengi ni mabmashi matupu ukiona kampuni inaajiri ovyo ovyo ifuatilie vizuri kujuwa ukweli
 
Ndo maana hamfanikiwi kwakuwa mnafanya uhuni.
Ngoja tuchimbe hii kauli yako ndugu,
Mbona wazungu wanazidi kufanikiwa kuzidi wanaoibiwa na wazungu ambao ni waafrika na waarabu. Cheki walivyoua watu wengi afrika, Iraq,Iran, Libya na wanazidi kudunda pia wanaiba mafuta , madini yaani kiongozi wa haya mataifa ili utawale inabidi uwape mktaba unaowabeba ama wanaonufaika kuliko nyie wenye madini yenu. Hii imekaaje, usilete hisia Ila tumia logic
 
Mzungu anajua wapi anabidi kuiba au kupiga na sio kila sehemu na ndo maana wanafanikiwa .

Hauwezi kumchukua Kijana umtoe mbali aje awe mlinzi wako then umlipe 150K

MTU mweusi huwa hana akili na haelewi mifumo ya kibepari inavyofanya Kazi .

Kumnyonya MTU ni mfumo wa kibepari Ila lazima ujue unamnyonya nani ?.
 
Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja Bwejuu Zanzibar, wanatakiwa vijana 25 wake kwa waume, raia wa Tanzaia , wenye namba za nida, waliopita mafunzo ya JKT au mgambo urefu ni futi 5.8 na kendelea, wenye simu janja zenye version ya android kuanzia 10, aidha waombaji wanatakiwa kutuma barua za maombi wakiambatanisha na CV, barua za utambulisho wa serikali ya mtaa au kijiji na barua mbili za wadhamini,

Maombi yote yatumwe kupitia namba ya whatsapp +255683421913 au
Email [email protected]

NB: nafasi hizi ni bure zinatolewa bila malipo
Kawatafute Wapemba, au wanasemaje wenyewe?
 
Ngoja tuchimbe hii kauli yako ndugu,
Mbona wazungu wanazidi kufanikiwa kuzidi wanaoibiwa na wazungu ambao ni waafrika na waarabu. Cheki walivyoua watu wengi afrika, Iraq,Iran, Libya na wanazidi kudunda pia wanaiba mafuta , madini yaani kiongozi wa haya mataifa ili utawale inabidi uwape mktaba unaowabeba ama wanaonufaika kuliko nyie wenye madini yenu. Hii imekaaje, usilete hisia Ila tumia logic
Hii statement yako haina corelation yoyote.
Sasa hao wazungu wanawaibia wazungu wenzao au wanawaibia waafrika wasiojitambua?bado tunarudi kule kule tu maana hao wazungu wakija kuiba afrika hawavamii lazima wafanye connection na wenzetu ambao wanatugeuka na kuchukua 10 percent ili kujinufaisha wao binafsi.
 
Jez na enzi za ukoloni ilikuwaje ama napo ma chief walichukua ten percent bado.
Libya wamevamia wakaua gadafi saivi wanajichotea mafuta bwerere
 
Umekuwa emotions ina Mana logic haipo Bali ni hisia tu zinafanya kazi. Emotions were applicable during caveman ancestorial era Ila saivi ni gharama kwako.
Wanadanganya bado na wanaibia , wazungu wamewapora waafrika mashamba huko marekani sema hujui walitunga Sheria wakawapora mbona bado napo wanadunda blacks wanazidi kuwa drugs dealers
 
Jez na enzi za ukoloni ilikuwaje ama napo ma chief walichukua ten percent bado.
Libya wamevamia wakaua gadafi saivi wanajichotea mafuta bwerere
amini hivyo ndugu mzungu hawezi kuvamia sehemu ghafla bila kuwatumia wasaliti wa eneo hilo.
Libya pamoja na Rais wao kutoa huduma zote muhimu kwa wananchi wake bado kuna baadhi ya wananchi waliomchukia na kumgeuka
 
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅ German
✅ Kitaliana
✅ Russian
✅ Romanian
✅ Spanish
✅ Arabic
✅ Kiswahili
✅ Chines

💻 KOZI ZA COMPUTER
✅ Computer Application
✅ Graphic and Design
✅ Video Production
✅ Air Fare and Ticking

🛠 KOZI NYINGINEZO
✅ Tour Guider
✅ Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
✅ Cleaner Hotel Management
✅ Ususi
✅ Make Up (Upambaji)
✅ Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
👉 Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

📞 Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
📞 0722 186 012
📞 0786 199 664
📧 Amani Magazeti Zanzibar
 
Attachments

  • ghost 2222.jpg
    ghost 2222.jpg
    146.6 KB · Views: 30
Back
Top Bottom