Tangazo la nafasi ya kazi seven estate agent

Tangazo la nafasi ya kazi seven estate agent

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Seven Estate Agents inatangaza nafasi ya kazi, ofisi meneja.

Sifa za mwombaji.

1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

2.Awe anajua kutumia computer.

3.Awe Msichana mwenye umri usiopungua miaka 18 na kuendelea.

Maombi yatumwe kupitia anuani zifuatazo:

1.sanduku la posta 32920, Dar es Salaam.

2.Barua pepe:johnabeli71@yahoo.com

3.022 262 7162 au 0756268287/0784225000/0784307332

4.Mwombaji afike katika ofisi zetu Mbezi Beach-Goig.

Mwisho wa kutuma maombi 25/2/2012.
 
please kaka tunaomba utuweke wazi sifa za meneja huyo

1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

2.Awe anajua kutumia computer.

3.Awe Msichana mwenye umri usiopungua miaka 18 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom