Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu moja mia tisa na nne (1904) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
 

Attachments

Afisa Tawala ✔

Afisa Biashara ✔

Afisa Habari ✔

Afisa Usafirishaji ✔


Any way, au basi tu.
  • Hizi Kazi zote TGS D LAKI 7
  • Kazi yenye 'angalau' mshahara mkubwa ni Daktari wa Mifugo anaenza na TGS F,
  • Wenye Nafasi ya kupiga Pesa ni Mawakili kwa sababu wanaweza wakawa wanafanya Kazi binafsi Kwa Siri huku na serikali, na CPA (T) unaweza ukafungua kiofisi au Ukawa unasaidia Watu kutengeneza Hesabu zao ukapiga kipato cha ziada Tena kingi, lakini AFISA Utumishi ni mshahara tu na makaratasi
 
Back
Top Bottom