Bila jiwe usingempata Samia.mpe heshima yake piaYaani kumlinganisha Jiwe na Maza Ni kumkosea heshima Maza kabisa.Jiwe hakua mtu yule,nafasi Kama hizi aliona akizitoa vijana watafaidi kishenzi.Hovyo Sana yule.
Kilimo au kada gani?Sasa hapa lazima nitoboe
Sema bila wenye CCM yao Samia asingepatikana, maana jiwe mwenyewe alisema yeye alikua anamtaka Hussein Mwinyi ndio awe makamu wake.Bila jiwe usingempata Samia.mpe heshima yake pia
Basi tumshukuru Lowasa,bila wafuasi wake kumpigia kura za hasira Magufuli,huenda Samia asingepatikana.Sema bila wenye CCM yao Samia asingepatikana, maana jiwe mwenyewe alisema yeye alikua anamtaka Hussein Mwinyi ndio awe makamu wake.
Kabila zima mnafanana kwahiyo kawaambie wenzioNihukumu mimi,acha kudhalilisha kabila zima.
Naunga mkono hoja.Basi tumshukuru Lowasa,bila wafuasi wake kumpigia kura za hasira Magufuli,huenda Samia asingepatikana.
Nimechagua kukupuuzaKabila zima mnafanana kwahiyo kawaambie wenzio
Haya, kale mavi ya ng'ombe yaliyochanganywa na nyongo uamshe mihemkoNimechagua kukupuuza
Afisa Tawala ✔
Afisa Biashara ✔
Afisa Habari ✔
Afisa Usafirishaji ✔
Any way, au basi tu.
- Mshukuru msukumo wa WapinzaniBasi tumshukuru Lowasa,bila wafuasi wake kumpigia kura za hasira Magufuli,huenda Samia asingepatikana.