Tangazo la Serikali kufuta ada kwa watahiniwa linachanganya

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Habari za mchana wana JF,

Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi?

#UziTayari
 
Ada ya shule ilitolewa, Ada ya mtihani ilikuepo(nadhani ni 20,000 km sikosei)
 
Back
Top Bottom