Tangazo CNN kwa bei hiyo poa sana. Mimi siamini hiyo scoop.
Ila target ni nani??
Ulaya navyojua, wazungu wengi hawana time na CNN maana wanaona ni propaganda channel ya wamarekani. So tayari wamepunguza soko lao.
At the same time, kuna aina mbalimbali ya Tourists. Kuna corporate level tourist ambao wanaingia na private jets zao hapo KIA.....(ukute hao ndio wanawatch CNN) and the general public dont hear about it, na hao waki-spend pesa ni kubwa kiasi kwamba....wanafunika pesa inayotumiwa na ma-backpackers mamia.
Having said that, kwenye net kuna potential kubwa zaidi. Good move Geeque.
Kuna mshikaji mwingine namjua yeye ana hii website
www.3DTanzania.com, this guy has a great idea. I remember he was trying to set a meeting with the Balozi in London. But somehow no one took him serious, or dunnoh what happened. All he wanted was certain material to help market Tanzania (at his own cost).
I think the biggest question is, 'who are we targetting', once we know that, then we can justify where we spend.