Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Habarini za usiku huu, naleta tangazo hili usiku huu baada ya majadiliano marefu na mhusika... Anayetafuta mchumba sio mimi bali ni mwanaJF mwenzetu nami nipo hapa kama mwakilishi
Nimejiridhisha mhusika yupo serious... Na anatafuta mchumba wa jinsia ya kike
Umri ni kati ya 24-27
Akiwa mrefu itapendeza zaidi
Awe mkazi wa Mwanza
Awe mwajiriwa au mjasiriamali
Vema akawa wa imani moja kuondoa migongano.. Awe mkatoliki
Ajitambue na kujiheshimu, mnyenyekevu mpole na mcha Mungu
Mengine na mengineyo yatakuwa private.... Aliye tayari tafadhali tuwasiliane PM
Wasifu wa mtafutaji
. mrefu
. maji ya kunde
. miaka 27
. mjasiriamali mmiliki wa kampuni ya ujenzi
ASANTENI