Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #21
Asante sana na hii ni mara ya tatu tumefanikiwa kuwaunganisha watu hapa JF na ndoa zao ziko kwenye afya nzuriFaza watu hawaendi na wakati, ushenga siku hizi umerajisishwa mno. Nashindwa kujua kwanini wameshindwa kufikiria kwamba kwa kaliba yako, hauwezi kuleta jambo kama hili kwenye kadamnasi bila kuwa na sababu iliyoshiba.
Ufanikishe kwa amani na ufanisi wa hali ya juu hili jukumu adhimu mkuu.