Tangazo la uchumba

Tangazo la uchumba

Status
Not open for further replies.
Faza watu hawaendi na wakati, ushenga siku hizi umerajisishwa mno. Nashindwa kujua kwanini wameshindwa kufikiria kwamba kwa kaliba yako, hauwezi kuleta jambo kama hili kwenye kadamnasi bila kuwa na sababu iliyoshiba.

Ufanikishe kwa amani na ufanisi wa hali ya juu hili jukumu adhimu mkuu.
Asante sana na hii ni mara ya tatu tumefanikiwa kuwaunganisha watu hapa JF na ndoa zao ziko kwenye afya nzuri
 
Taarifa rasmi... Hatimaye aliyejitokeza wa kwanza amekidhi vigezo na mchakato wa kufahamiana unaenda vizuri... Mawasiliano yamefanyika kwa simu.. Asante sana kwa wote mlioshiriki
Moderator, JamiiForums naomba uzi ufungwe rasmi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom