Tangazo labandikwa kutoa onyo kali kwa wanafunzi wa vyuo dodoma kutokuandamana


Kwani kuna nini Nov/11/2012?
 
Hili tangazo limetolewa na nani? "ATUA KALI" ndiyo kitu gani? Ningekuwa mimi ni mwanamfunzi wa hivyo vyuo ningelilipuuza tu hili tangazo kwa kuwa linaonekana limeandikwa na sharobalo tu. Na kwa kuwa hakuna tafsiri nzuri ya neno ATUA, basi hakuna haja ya kulihofia hili Tangazo.
 
Hivi makonda anasoma wapi? Huyu jamaa hamalizagi chuo?
 
wadau mbona naliona jina la salumu hapi hapo, ni huyu aliyeshindw umakamu mwenyekiti wa uvccm?
 
Mkiambiwa hicho ni chuo cha kata,mnaanza kuona kama mnaingiliwa kinyume na maumbile katika haki yenu ya kupata elimu,sasa nawatukana live,. CCM NYIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…