Hili tangazo limetolewa na nani? "ATUA KALI" ndiyo kitu gani? Ningekuwa mimi ni mwanamfunzi wa hivyo vyuo ningelilipuuza tu hili tangazo kwa kuwa linaonekana limeandikwa na sharobalo tu. Na kwa kuwa hakuna tafsiri nzuri ya neno ATUA, basi hakuna haja ya kulihofia hili Tangazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.