Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo..Kwanza william ahsante kwa kutufikiria wanajf katika hii high profile event! Swali langu ni juu ya issue ya kuwa anonymous ndani ya JF, JE Ndo itakwisha? I personaly am not up for jamiiforums members goin public..elections are around the corner, tusije shangaa magazeti yanaandika jamiiforums na ccm, chadema, cuf etc etc wajadili maendeleo na mwelekeo wa nchi!
I believe JF has no party but the Tanzania party (if u knw wot i mean). These meetings can open floodgates and send mixed messages in my view. But thanks once again.
All in all mpe pongezi mzee malecela kufikisha 75, im praying wazee wangu watafika hiyo age, its a great achievement kwenye nchi kama tanzania.