Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
nilifikiri anaongea kitu cha maana, baba yako anatuhusu nini mkuu, hapa tujadili mambo ya kujenga, sio kuwekeana sherehe za uchochoroni huko, ina faida gani hiyo kwa jamii ya kitz hata utushirikishe watu wote sisi? samahani kukujibu hivi, nimeshindwa kujizuia.
- ...... nimepatiwa nafasi 4 tu kwa ajili ya JF tu, kwa sababu wengine wote watakuwa ni wanasiasa tu, kwa hiyo in the way ni nafasi nzito na muhimu sana kwa wanaoelewa......William.
Kadi ya mwaliko itaandikwa jina lipi? Naona JF inapiga hatua. Naona next time RA na maswahiba wake watatupiga bonge la offer kwenda kutesa Kempsky!! Naona pazia litafunguliwa na hapo itakuwa shughuli kweli kweli!
... maana for JF I will do anything, kama vile kwa taifa langu.
Hivi huyo jamaa kakimbilia wapi?Mmhhh, sijaelewa hapo, maana wengine tulipenda hisabati tukachukia kiwingereza. Nilitegemea utasema "I will do something". Angekuwepo Pundit angetuwekea hiyo sawasawa !!!
Mzee William;
Mie kwenye party sitoweza kuhudhuria, kwanza nimechelewa nahisi. Ila nitakutafuta kibinafsi. Nadhani utakuwepo Mjini Dar mpaka Ijumaa wiki hii. Nitakutafuta Ijumaa mkuu.
FP
Mmhhh, sijaelewa hapo, maana wengine tulipenda hisabati tukachukia kiwingereza. Nilitegemea utasema "I will do something". Angekuwepo Pundit angetuwekea hiyo sawasawa !!!
nilifikiri anaongea kitu cha maana, baba yako anatuhusu nini mkuu, hapa tujadili mambo ya kujenga, sio kuwekeana sherehe za uchochoroni huko, ina faida gani hiyo kwa jamii ya kitz hata utushirikishe watu wote sisi? samahani kukujibu hivi, nimeshindwa kujizuia.
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo..Kwanza william ahsante kwa kutufikiria wanajf katika hii high profile event! Swali langu ni juu ya issue ya kuwa anonymous ndani ya JF, JE Ndo itakwisha? I personaly am not up for jamiiforums members goin public..elections are around the corner, tusije shangaa magazeti yanaandika jamiiforums na ccm, chadema, cuf etc etc wajadili maendeleo na mwelekeo wa nchi!
I believe JF has no party but the Tanzania party (if u knw wot i mean). These meetings can open floodgates and send mixed messages in my view. But thanks once again.
All in all mpe pongezi mzee malecela kufikisha 75, im praying wazee wangu watafika hiyo age, its a great achievement kwenye nchi kama tanzania.
- Ninapenda kuwaarifu ndugu zangu wote hapa JF, kwamba kwa furaha kubwa sana mimi na ndugu zangu tuko katika matayarisho makubwa sana ya kumfanyia sherehe nzito sana mzazi baba yetu, [/U]
Mmoja wa watoto watatu (wote wa kike) kati ya watano wa mzee Malecela. Wakiume wawili wameshatangulia mbele ya haki.