Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
¤IMPORTANT THINGS TO KNOW ABOUT THE APPLICATION¤
1] No application will be processed without the registration fee payment confirmation from the zonal co-ordinator.Therefore, applicants are adviced to return their forms along with their group registration fee payment confirmation from the zonal co-ordinator to avoid unneccesay delay on thier visa processing.

huu pia ni utapeli mwingine, hawa jamaa watakwambia wanataka group la atleast watu watatu wakiwa na maana ya kupata 900u$ na ndio kisa cha bwana FMES kuanza kuprosess vichwa vitatu

2] The official rate for the Registration/application-processing fee is $300 per applicant.
3] Members without traveling documents will pay an extra fee of $50 for the processing of the United Nations Emergency Traveling Certificate. In all, an applicant without traveling passport is to forward a total payment of $300 to their zonal office before returning the completed Registration/application form to the head Office to avoid the visa processing delay.

jamani hii ni hatari yaani kama hauna passport hao jamaa watakutafutia certificate ya UN, hivi kweli akili ya aina gani inayoitajika kujua kama hiki kitu ni cha kitapeli?

¤METHOD OF PAYMENT¤
For information on method of payment, Please contact your zonal coordinator.

sasa hapo ndio anapotapeliwa mtu, hii organization inaonekana hipo marekani lakini kwenye maswala ya payment unaambiwa uwasiliane na zonal coordinator, yaani hapo sasa utaambiwa wewe zone yako ni either Senegal, Nigeria au Ivory coast

nime apply na kurudishiwa jibu hili na zonal coordinator (aliyeko Ivory Coast wakati wanasema wako florida!

Attn: Applicant,

May the peace of Almighty God be with you, with due respect we have received your mail and have confirmed from our head office in the United States of America that you have been duly approved, hence you are to print out, fill and scan the application form been forwarded to you with this mail which you are to send through email attachment to us here or through fax: 1-832-383-3701 to our head office in Florida USA.

You are also expected to forward to us with the filled application form, the sum of 300$ in equivalent of your local currency as your application processing fee per applicants which you may have gone through in our website, in accordance to the information at the website any applicant that is up to the working age of 18 will have to pay the application fee and any one below the working age is free.

The fee is to be send here in COTE D'IVOIRE been your zoned coordinating office. Your application fee is to be sending to us through MONEY GRAM MONEY TRANSFER.
With the below information.
Name of Receiver----COSTAIN MPALA (ACCOUNTANT)
Address..........Immeuble
Rue A43 Opposite Government house Plateau
City ------------------Abidjan
Country-------------Cote d’Ivoire
immediately the above is received an official confirmation will be send to our head office.

Note: all applicants are been given five (5) days to return there filled application forms and fees together with the payment slip.

Yours in Service,

Pastor Steve Omenda JP.

African zoned coordinator
CraigList Foundation.
 
Kwanza, wanasema HQ zao ziko Florida, uki-google utapata kwamba Craiglist Foundation's offices address yao ni 657 Mission Street, Suite 507, San Fransisco, CA 94105. Kwa hiyo ofisi zipo California na siyo Florida.
Pili, namba ya simu waliyoweka hapo
832-383-3701 ni namba ya Houston Texas na siyo ya Florida. Namba za Houston ndio huwa zinaanza na 832------.
Tatu, nime-google majina ya hao jamaa hapo chini Costain Mpala na huyo anayejiita mchungaji Steve Omenda .... Hakuna habari zao zozote zinazohusiana na Craiglist Foundation. Na kwa mradi kama huu wangetakiwa majina yaweke kama watu muhimu. Kuna mtu anaitwa Costain Mpala wa Zimbabwe na anahusiana na mambo ya miradi ya Aids. Omenda ni jina la kikenya na Mpala ni la kizimbabwe kwa hiyo ni utapeli kama hayo majina yako West Africa!
Zaidi ni kwamba kama huo mradi uko Marekani kwa nini hela zitumwe West Africa!!?? Tena zitumwe kwa money gram sio bank Huu ni utapeli wa wa-west, nina wasiwasi nao na wala sishauri mtu atume hela maana information zao zina utata.
 
nime apply na kurudishiwa jibu hili na zonal coordinator (aliyeko Ivory Coast wakati wanasema wako florida!

Attn: Applicant,

May the peace of Almighty God be with you, with due respect we have received your mail and have confirmed from our head office in the United States of America that you have been duly approved, hence you are to print out, fill and scan the application form been forwarded to you with this mail which you are to send through email attachment to us here or through fax: 1-832-383-3701 to our head office in Florida USA.

You are also expected to forward to us with the filled application form, the sum of 300$ in equivalent of your local currency as your application processing fee per applicants which you may have gone through in our website, in accordance to the information at the website any applicant that is up to the working age of 18 will have to pay the application fee and any one below the working age is free.

The fee is to be send here in COTE D'IVOIRE been your zoned coordinating office. Your application fee is to be sending to us through MONEY GRAM MONEY TRANSFER.
With the below information.
Name of Receiver----COSTAIN MPALA (ACCOUNTANT)
Address..........Immeuble
Rue A43 Opposite Government house Plateau
City ------------------Abidjan
Country-------------Cote d'Ivoire
immediately the above is received an official confirmation will be send to our head office.

Note: all applicants are been given five (5) days to return there filled application forms and fees together with the payment slip.

Yours in Service,

Pastor Steve Omenda JP.

African zoned coordinator
CraigList Foundation.
-Bwa ha ha ha ha ha ngoja fmes kafunga safari yuko FL just a minute man....ngoja nikaondoe na thanks niliompa kwenye post yake ya kwanza
 
COPERATE HEAD QUARTER:
CLF PLAZA,1563S US HIGHWAY 17 92
LONGWOOD,FL 32750
ORLANDO FLORIDA USA
TELE-FAX : 1-832-383-3701; E-MAIL: craigslistfoundation@usa.com

OFFICE OF THE GENERAL SECRETARY
DR Johnson Millers
CRAIGS LIST FOUNDATION, PLAZA 5TH FLOOR 1563 S Us HIGHWAY 17 92
LONGWOOD,FL 32750
ORLANDO FLORIDA USA
FAX : 1-832-383-3701
EMAIL: johnsonmillers@gmail.com

hiyo address ya kwanza kabisa sijuhi nini maana ya COPERATE

hebu angalieni hizo address hapo juu, ukiangalia hiyo ya kwanza baada ya 1563 inafuatia S ambayo hipo kama neno moja yaani 1563S, lakini hiyo ya pili kuna space kati ya 1563 na S
ukiangalia katika adress ya kwanza kuna hili neno US (zote ni capital letters), lakini katika address ya pili utakuta limeandikwa Us (Capital and small letters)

ZONAL CO-ORDINATING OFFICES:

Due to useless spammers that had been uploading the contact email addresses of our zonal offices and representatives worldwide, the email addresses of the zonal offices has being removed from this website to protect the contact of this foundation.You are hereby adviced to reach the General Secretary by mailing to johnsonmillers@gmail.com for him to give you the contact information of your zonal coordinators if you have any need of contacting them.
 
- Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,

- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.

Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.

Ahsanteni Wakuu.

Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!

wewe FM acha utapeli hapa wakipopo. wenye uchu wakwenda majuu tumia njia yaofisho na ni bureeee kabsa.
 
Kwanza, wanasema HQ zao ziko Florida, uki-google utapata kwamba Craiglist Foundation's offices address yao ni 657 Mission Street, Suite 507, San Fransisco, CA 94105. Kwa hiyo ofisi zipo California na siyo Florida.
Pili, namba ya simu waliyoweka hapo 832-383-3701 ni namba ya Houston Texas na siyo ya Florida. Namba za Houston ndio huwa zinaanza na 832------.
Tatu, nime-google majina ya hao jamaa hapo chini Costain Mpala na huyo anayejiita mchungaji Steve Omenda .... Hakuna habari zao zozote zinazohusiana na Craiglist Foundation. Na kwa mradi kama huu wangetakiwa majina yaweke kama watu muhimu. Kuna mtu anaitwa Costain Mpala wa Zimbabwe na anahusiana na mambo ya miradi ya Aids. Omenda ni jina la kikenya na Mpala ni la kizimbabwe kwa hiyo ni utapeli kama hayo majina yako West Africa!
Zaidi ni kwamba kama huo mradi uko Marekani kwa nini hela zitumwe West Africa!!?? Tena zitumwe kwa money gram sio bank Huu ni utapeli wa wa-west, nina wasiwasi nao na wala sishauri mtu atume hela maana information zao zina utata.

Good job man Bonge......! wenye macho hawaambiwi tazama! Caroline upo eeh...endelea na hatua ya pili....lipia haraka sana!
 
Narudia tena hii ni DECI panda mbegu! Hao washikaji zako waambie JF ni great thinkers waniwashtukia, hii peleka jimboni mwa Mtanzania kule Kyela wapiga debe wake waishikie bango! Mzee na heshima zako unapost upupu wa hivi jamani ama umeibiwa pswd? Hujui wewe shida ya employment ilivyo duniani ???

Kama na wewe uko kwenye kundi la hao jamaa mkitafuta pesa za kampeni kwa Mwakalinga jua mumefulia big time

Think before you post hapa JF! Unaona limekurudia kamanda FMES? Pole sana

MoDs naomba hii thread ifungwe kabla madhara hayajatokea kwa watanzania wenzangu, ama aliyeleta haya mambo afungiwe walau kwa week ajifunze kuleta vitu vya maana hapa JF ni ombi tu wakuu..vinginevyo hii thread ihamishiwe mahali pake kule kwenye jokes

Mzee Masa

Kumkoma nyani 100% origin.
 
-

- Wewe una umalaika gani hasa? Mtu msamaria mwema amekuonyesha anaponunua ndizi za kwenu Bukoba huko majuu tena kwa nia njema sana, wewe ukarudi kesho yake na kununua zote pale dukani na kutaka kumuuzia tena yule yule msamaria mwema aliyekuonyesha duka, sasa wewe ni mtu gani? Ndio maana umeshupalia weee na hii thread ni kwa sababu unataka info, halafu uwatafute ukaharibu!

Field Marshall Es!

Nimecheka hadi nasikia njaa.....duh, yani jamaa kanunua duka la ndizi za Bukoba majuu. Ngoja tu niache kucheka mana mwisho nitaanza kusikia kiu.
 
Nimecheka hadi nasikia njaa.....duh, yani jamaa kanunua duka la ndizi za Bukoba majuu. Ngoja tu niache kucheka mana mwisho nitaanza kusikia kiu.
-bwa ha ha ha ha ha

Mwanasiasa;
Na kushukuru sana kwa kufatilia hii issue hii na utafiti wako. Swala COU sikulianzisha mimi bali limekuwa linajadiliwa kwenye forum mbali mbali. Kwenye utafiti wetu tutagundua ukweli wa hili swala. Aksante sana.
Mkandara;
Nashukuru kwa maelezo yako. Karibu kila kitu ulichokieleza na kifahamu, isipokuwa kuna baadhi ya watu wanatake advantage IT na Globalization kudanganya watu. Mfano, kuna baadhi ya watu wanatumia nembo ya UN (United Nations) kutangaza kazi za wazi. Mimi mwenyewe kidogo ni ukwae mkenge. Hawa matapeli walitangaza Kazi za Assistant UN Resident representatives, walituma kwenye mashirika mbali mbali ambayo waliona yanashughulika mambo ya Economic Planning/ Finance. Institution yangu ni moja wapo iliyopata hilo Tangazo kwa Fax. Mimi nilituma maombi baada ya week 2 nilipata mail yao kunieleza kwamba nimefanikiwa, mshahara wenye bila malupu ilikuwa US $110.000 kwa mwaka (tax free) bila malupulupa. Wakanieleza mipango ya visa ya US kama sina wakasema wataifanya. isipokuwa walisema napashwa kuhudhuria training ya miezi sita Washington kwenye Institution fulani. nilitakiwa nilipe $ 3,000 kwa ajili ya training kwenye Bank Account fulani, hela hizo walisema nitarudishiwa na UN baada ya kuanza training. Hapo nilishutuka nilianza kutumia watu ambao ni rafiki zangu wanafanya UN New York wakanieleza kuwa ni matapeli. Walinieleza nitume information na evidance za mawasiliano kwenye UN Security office ili waweze kuwapata watu hawa. Uki- visit UN websites zote upande wa Vacancies wanatoa onyo kwa waombaji wote, kuwa kuna institutions kama hizo za matapeli

Kwa watu ambao wana upeo wa kuelewa ndiyo maana wana dought na COU na institutions hewa wanazotumia matapeli. Kwa hiyo ndugu yangu Mkandara tusichukulie kila kitu for granted mtandao upo tuutumie kufanya utafiti na kuelemishana. Samahana kwa kuwa-bour.
hii post mataka aliandika march 2006 hio.....
 
Yo Yo Kuna shori matata sana hapa mtaani amemaliza Mzumbe, nimemchomekea kuna nafasi za kazi majuu....sasa kwa kuwa wewe uko karibu na FMES ongea naye atupatie hizo $ 300, tuapply kwa ajili ya huyu mtoto...huwezi jua kinaweza eleweka mbele ya safari...

Chonde chonde

Chonde chonde na dada wa watu maana mradi utakuwa radi tena angani siyo majuu!.
Haya subirieni jibu lakini najua mnaelewa vizuri kuwa hii kitu siyo real!..
 
Darling

Usijali ni mambo ya kijamii tu haya kujaribu kupunguza umasikini. Hii kitu imekaa tenge kama ni proposal basi kiwete. Jamaa anajaribu kuifanya eti iko for real, baharia wakati mwingine anapotea....vipi lakini sijakusikia kwa masaa kadhaa upo poa? Ngoja tuingie kwenye PM kabla ya haters hawajatia chumvi

L.O.V.E,

Masa

Chonde chonde na dada wa watu maana mradi utakuwa radi tena angani siyo majuu!.
Haya subirieni jibu lakini najua mnaelewa vizuri kuwa hii kitu siyo real!..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom