Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
Watu wengi waliofanikiwa ni risktakers/wasiojalikupata hasara, mmmh $300 si mchezo,ila pia kwa kijana wa kibongo,Mungu wangu weeeee,hizo wala sio pesa,wataiba,watakaba,watakopa wazipate waendemajuu,hapa nilipo nina watu kibao wanataka kwenda uarabuni kutafuta maisha. Nikiwaambia wazazi wao,watoe hizo pesa ni kama kumsukuma mlevi,watatoa bila maswali si wananijua?Wasipoenda itabidi niwarudishie wazazi hao fastafasta na melezo ya msingi kwa nini dili halikufanikiwa na kiasi fulani kujishushia heshima,anyway nitakutafuta, jamaa wananisumbua sumbua kuhusu swala hilo la majuu.
 
Jamani mbona wabishi mimi napiga kazi huku connexion za FMES!!!!
 
UNITED NATIONS COMPENSATION UNIT,
IN AFFILIATION WITH WORLD BANK
From: Special Envoy to
Secretary-General BAN KI-MOON

Dear Masanilo

This is to bring to your notice that we are delegated from the UNITED NATIONS in Central Bank to pay 50 victims from your country who has being Victims of Internet scam, The United Nations has decided to pay you $500,000 USD (five Hundred Thousand Dollars) each.. You are listed and approved for this payment as one of the scammed victims to be paid this amount,get back to this office as soon as possible for the immediate payment of your $500,000 USD compensation funds.

My dear friend I will like you to contact the finance house for the collection of this international certificated bank draft. The name and contact address of The Person with your Cheque is Mr. Billy Bragg.

Send a copy of your response to official email:
SECURITY & FINACIAL CONTACT AGENT: Mr. Billy Bragg
EMAIL: billy.bragg21@gmail.com

You are advised to send your communication particulars,

Full names
Telephone
Fax numbers
Mailing Address
Age
Occupation
E-mail Address

to enable us have your payment approved, You are advised to forward this information to the above office for payment release of your compensation.

Yours Faithfully,
Mrs.Sarah Thomas
Secretary United Nations
West Africa
General Ban Ki-Moon.
( Financial officer )United Nations...
 
Masanilo scammers hao ? mmh
 
Hivi huu mradi wa kazi majuu uliishia wapi. Members mliofaidika nao tunaomba shuhuda tafadhali.
 
Masanilo, please do not kill me silently!!
 
Kuweni Makini na mambo ya kampeni FMES anasubiria tu hapa amwage kazi kwa wazawa!
 
Kuna harufu ya utapeli hapa, labda kuna baadhi ya waliolizwa baada ya kuliwa vijisenti vyao. Kama wapo waliofanikiwa na tangazo hili basi wajitokeze hadharani na kusema hili tangazo halikuwa ni la mazingaombwe ya kitapeli.
 
matajiri wanata KUSAIDIA watu toka nchi masikini - dola mia tatu tuu!
 
Jamani wale tulioshindwa kura za maoni, Kazi za Majuu bado nafasi zipo...Mkuu FMES give us a supporting hand LOL
 
Jamani wale tulishindwa kura za maoni, Kazi za Majuu bado nafasi zipo...Mkuu FMES give us a supporting hand LOL
Aluuu, una visa wewe. FMES yuko wapi? Au ndiyo kaambiwa mwaka wa uchaguzi huu marufuku kuja kulopoka hapa ?
 
Hahahahahaha huwa anachungulia na kuishia! Anauchungu sana nadhani unajua kilichotokea Mtera
 
FMES alikuja hapa kuhusu kupoteza jimbo kwa malichela ..........

akatoa threat moja kuwa watu wanajuulikana wanaocheza na ID na kuaga kwa 'kwa heri ya kutoonana'
 
Huu ni utapeli wa Mchana .............kweupeeee..............Na haya ni Mapepo ya Tamaa ....Midola 300 ni Mingi Sana.......equivalent na Tsh 450,000 ( Kwa Exchange rate ya 1480). OOhh XXXXXXXXXXXXX Tuepushe na Kikombe Hiki!!!
 
Kwanza nakushukuru kwa moyo wa kuweka mabo hadharani na ninaomba uendelee na moyo huo
ila ninachokiona mimi ni kwamba huu mchongo unatia mashaka ndani yake. matangazo kama hayo yapo na tumeona wengi wakifanya juhudi kulipa hizo fedha zinazotakiwa lakini baadae huwa ni majuto. naomba usinielewe vibay ndugu yangu uliyetuletea mchongo huu kwani hata mimi mwenyewe nautamani, ila kuna ndugu yangu mmoja alipata mchongo kama huu na akaambiwa atoe dola 150 alipolipia matokeo yake ilikuwa ni kujuta na bahati mbaya ni kwamba pesa hiyo ilikuwa ya mkopo. ila mie naungana na wale waliosema kuwa pesa hiyo ikatwe kwenye mshaara, kama hilo linawezekana hata mimi niko tayari
nakushukuru tena na ninakutakia mafanikio, tuko pamoja mkubwa
 
Acha woga mkuu! Asiye na thubutu hafanikiwi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom