Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Si unaona kaweka mzungu kwa avatar
Na maandishi yakawa makubwaHahahaha
Ahogoha mabweshuna za kuchomoea betri. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue 7800 alienda nayo kwa anko.Hivi nauli ya mwanza si ni 50,000 tu?? 7,800 mnazo, hapo tutatuma 42,200
Au na ya kutolea??
Na kila mnavyochelewa basi huku chokocho pemba ndio wanakaribia kufunga vibanda vyao vya ezzy-pesa.Namba za wakala alipo mjumbe alopewa 7800 zipo mtapewa
Halafu anakesha sana jf jana nimeingia alfajiri yupo online
HahahahahahaNa kila mnavyochelewa basi huku chokocho pemba ndio wanakaribia kufunga vibanda vyao vya ezzy-pesa.
Hapana sio yule 😂😂😂😂😂😂🏃Si ndie yule aliefungua uzi akawataja wanawake kama wa nne na wewe ukiwemo
Kabla hayajatukuta ya kutukutaMpaka sasa mjumbe yupo kwa anko! Anatafakari mkoba wa babu, nawahasa tuu mfanye haraka kumtumia nauli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chizi wewe young tunayemjua alikuwa mwafrika ana tudred
Sisitiza katibu, mjumbe wetu alikuwa mgonjwa pia. Kazia hela ya matibabuFanyeni haraka mtusuuze moyooo [emoji23][emoji23][emoji125][emoji3601]
Katibu fanyia kazi hili swalaa
Si umekataa kuja mtoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla hayajatukuta ya kutukuta
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2445]
Hujioni eti
Kesho sipoNitakuja kesho.
Tunakumbushia tu, ma-anko wa siku hizi hawakawii kuchoka na kuuliza "una mpango gani"??Hahahahahaha
Pm zitafungwa mpaka muamue kumuwezesha mjumbe wetu nauli
Hahahahahaaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia usianguke tuna 7800 tuu
Umoja wetu ndo nguvu yetu!Tunakumbushia tu, ma-anko wa siku hizi hawakawii kuchoka na kuuliza "una mpango gani"??
Mwambieni mjumbe alegeze kamba, atoe namba muamala utumwe arudi mwanza
Nawakumbusheni tuuHahahahahaaha
Tunasubiria namba tutume hiyo 42,200 iliyobaki haya mambo yaishe