Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Ndiwooo
[emoji134][emoji134][emoji134] Huu ubonge na weusi mangala wangu usiniambie nimebadilika zaidi ya hapaSiku hizi mdogo wako amebadilika sana
MfyuuuuuuWote mmebadilika
Mbona bado haijatumwa jamaniShunie tushakubaliana pesa itumwe kwako
Na ya kutolea jamaniHivi nauli ya mwanza si ni 50,000 tu?? 7,800 mnazo, hapo tutatuma 42,200
Au na ya kutolea??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe una mbwaiOhoo,imi sina izo mbui
Wewe alfajiri leo haujanipa likeAisee,labda umechanganya file huyo ni young mwengine,mimi nalala saa tatu kama kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mgonjwa huyu kibokoSisitiza katibu, mjumbe wetu alikuwa mgonjwa pia. Kazia hela ya matibabu
Hivi namba ilishatumwa vile??Na ya kutolea jamani
Si ndie yule aliefungua uzi akawataja wanawake kama wa nne na wewe ukiwemo
Tumeshatuma ebu fanya kutuma basiHivi namba ilishatumwa vile??
Lakini kuweka 7800 mezani sio sawaNa hili ndio lilikuwa chanzo cha yote haya
MwenyeweMfyuuuuuu
Hapana wanaweza nichosha mapema.Tehtehteh...
Nimeimiss chit-chat ya matani sio hii ya sasa kila kitu personal.
Karibu usisite kufungua kwanza lakini.
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mgonjwa huyu kiboko
Usijali katibu..
Na zile pm za zamani tunaomba zifutwe ili kuepusha usumbufu!!
Ila hajataja jina lakiniMkuu kuna Sakayo jamani sio mimi huyo
Nimebisha hodi nimekuta kufuliHahahahahaha