Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Unaliongeleaje suala la picha ndugu mwenyekiti ?
Kwa niaba ya mwenyekiti, naomba nitowe rai na pole kwa wale wote walio jeruhiwa na swala la picha.
Pili nipende kusema kwamba jf inaonekana kuvamiwa na vijana wasio na adabu na wasio na hekma hata kidogo, hali iliyo pelekea kukosa staha na kufanya mambo ya ajabu tena yenye kuitweza jinsia yetu.
Binafsi naamini wengi wapo humu wanao fahamiana, na pia kutofautiana ni jambo LA kawaida hata huku kwenye familia zetu, sasa linapo kuja swala la utashi, pengine hata inapo tokea kijana akamtongoza mdada humu na kisha kijana huyo ikitokea amekataliwa basi isiwe nongwa maana unapo zoza kuna kukubaliwa ama kukataliwa.
Kuanika picha ya mtu humu pasipo ridhaa yake, hilo ni jambo baya tena baya sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli kikao kifanyike haraka kwa hati ya dharura...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Ndugu mjumbe kinda kinda asante kwa ujumbe muhimu saana.

Katiba ya chama ibara ya 10 kipengele ba.

-Inamtaka mwanachama kutangaza couple haraka iwezekanavyo pamoja na kuisajili kwa Katibu na Mwenyekiti.

Hivyo, kwa kifungu tajwa hapo juu hao wanachama wanavunja sheria na lazima sheria zifuate mkondo wake.

Acha PM wazi mjumbe.
 
kuna watu watakua wanajiandaa vema kumface joanah wasijue kua watapoteza 7800 zao maana joanah ananipenda mimi hilo liko wazi na nipo hapa nilipo nafikiria jibu la kumpatia ambalo halitamuumiza kihisia
 
Kozi fupi chini ya mzee huyo zifanyiwe maboresho,idadi ya PM zilizofungwa ni nyingiiiiii
Hahaha.

Ndugu mjumbe hili suala nimeliona kwa muda sasa. Tatizo mwenyekiti haambiliki anasahau nyakati zimebadilika.

Ila nikutoe wasiwasi tumepeleka vijana kusoma kozi za muda mfupi Congo...mambo yatakuwa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…