Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mjumbe kile kikao chetu cha wana mwanza tunasikitishwa sana na swala hili
Mjumbe hatukushirikisha hili swala hata angalau angeomba ushauri
Mwanza inaheshimika jiji la maraha Tanzania na lenye wanawake warembo iweje hadhi yetu ishushwe kirahisi hivi
Hatuwezi kukubali adhabu kali ichukuliwe
 
Hebu fanya uje hapa Gold Crest (maana ni katikati ya mji) tuongelee hili suala alilofanyiewa mwanaMwanza mwenzetu.
Naungana na Sakayo, tupinge 7,800/= kwa vitendo. hahahahaha
 
Yaelekea cutelove bado ni mtoto sana, hahahahah, angetuona magumegume tumpe triki. hahahahaahah.
Kwanza alitakiwa aivute hiyo njemba ije Mwanza sio yeye amfuate. hahahahahaha. Au kama vipi wakutane Dodoma
 
Naunga mkono hoja.
 
Hebu fanya uje hapa Gold Crest (maana ni katikati ya mji) tuongelee hili suala alilofanyiewa mwanaMwanza mwenzetu.
Naungana na Sakayo, tupinge 7,800/= kwa vitendo. hahahahaha

Inabdii tukutane hapo jioni tulizungumzie hili kwa kina haiwezekani mtu mmoja atufarakanishe
 
Na uzembe wa kutokutofautisha mlio wa simu na alam ya saa kumi na moja
 
Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huwa unanifurahisha na comment zako wenye busara tele.

Ila Leo umenichekesha sana. Shunie Pia amefunga??
 
Kote kumefungwa ndugu mjumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…