Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Ntakuwa benchi la ufundi na bro Mshana Jr pamoja na Mzizi mkavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ntakuwa benchi la ufundi na bro Mshana Jr pamoja na Mzizi mkavu
Ha ha ha utaswekwa rumande.Wabunge wenyewe ni hawa waliopitisha Hizi sheria za kimakinikia? Endapo Tulia atacheza utanishtua nirudi hapa@
Ningepata namba shughuli yangu mngeiona...ni kiraka.Kuanzia golini hadi striker.Ngoja nipange kikosi
1. Nyani Ngabu
2. Joseveret
3. @Mo 11
4.bitoz
5. mimi
6. Kiranga
7. pasco mayalla
8. Mzee Mwanakijiji
9@maxence mello
10. The bold
11.@fisadi kuu
Pangen sub
Othmani KaziMini nitakuwa refa
Ha ha ha haNamba 9 wanacheza wenye matege
Max hana matege so badilisha hapo
BosquetAisee mm mleta mada namba Yangu sita huoni ata Nina nalo tumia Sergio 5
Yule fundi wa kupiga pasi kutoka barca niachieni dimba wakuu
Teh TehNa mimi benchi lá ufundi na figisu figisu