Tangazo nafasi ya kazi-Mtaalamu wa ufugaji wa kuku (Broiler)

Tangazo nafasi ya kazi-Mtaalamu wa ufugaji wa kuku (Broiler)

bata mzinga

Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
21
Reaction score
35
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MTAALAMU WA UFUGAJI WA KUKU (BROILER)

Tunatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) kujiunga na timu yetu.

Sifa zinazohitajika:
  • Awe na uzoefu wa kusimamia ufugaji wa kuku wa broiler.
  • Awe na uelewa mzuri wa lishe, ratiba za chanjo na dawa, biosecurity, pamoja na usimamizi wa banda.
  • Awe na uwezo wa kufuatilia ukuaji wa kuku, matumizi ya chakula (Feed Conversion Ratio - FCR), na kupunguza vifo.
  • Awe mwaminifu, mwenye nidhamu, mchapakazi, na tayari kufanya kazi kwa kujituma.
  • Elimu ya mifugo au uzoefu wa vitendo utazingatiwa.

Majukumu
  • Kusimamia shughuli zote za kila siku za banda.
  • Kuhakikisha kuku wanapata chakula, maji, dawa na chanjo kwa wakati.
  • Kufuatilia afya, uzito na maendeleo ya kuku.
  • Kuweka kumbukumbu za uzalishaji na kutoa taarifa za maendeleo.
  • Kusimamia usafi na utekelezaji wa biosecurity.

Eneo la kazi: Bagamoyo, Pwani.
Wenye sifa na wanaopenda nafasi hii wanakaribishwa kuwasiliana kwa mahojiano.
Kwa mawasiliano: 255790805704( tuma cv whatsapp usipige simu.
 
Back
Top Bottom