Tangazo Tangazo Kwa Wa Muslim

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Asalaam Alaykum

Twamshukuru allah Leo tukiwa Katika Swaum Ya 4 alhamdulillah

Tangazo Maalum kwa waislam woote

Siku Ya Jmosi Ya mwisho Wa Week Hii

Nitazindua Rasmi Muhadhara wangu Wakwanza
Jijini Dsm

Hivyo Kwa wakaazi Wa dsm Inshaallah Tuwataarifu Nandugu zetu katika Iman tuweze

Hudhuria Katika Muhadhara huo Kujifunza Yale Alio tua amrisha allah Naaliyo tukataza Pia

Kwa Watakao Jaaliwa kufika Wasiliana na No hizi Kupata maelekezo Niwapi Sehemu ya makutano Hayo Na muda Wake pia Call


Whats app Nivyema Kuweka Nafasi mapema inshaallah

Ikiwa allah kakujalia pumzi bhaasi Usisite kuja kupata Nasaha
Zitakazo kuza Iman Na kuzi pooza nyoyo zetu inshaallah

Mtaarifu Namwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…