Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Tutajie na Wadhamini
na zawadi
Tutajie na Wadhamini
...na ukumbi utakapofanyikia mashindano.
wadhamini ni wana-ban,
na zawadi
chief judge nani na majudge wengine?washiriki jamani mbna hawajajinadi?
Ruhazwe JR jibu hiyo !Na Mc wa siku hiyo nani,atuambie kbs,
Na Majaji,
Viingilio je??
Elia hebu muulize huyo "Hashim Lundenga"
shindano hili ni la aina yake, majudge ni wana chitchat kupitia kura yako ktk thread husika,unaombwa ukapige kura yako kwa kuwateuwa wawili watako ingia fainali
sawa tunaruhusiwa kuhonga? maana sie wabongo tushazoea kila uchaguzi lazima tutoe rushwa
shindano hili ni la aina yake, majudge ni wana chitchat kupitia kura yako ktk thread husika,unaombwa ukapige kura yako kwa kuwateuwa wawili watako ingia fainali
Nani atahesabu kura?