Tangazo: Tunanunua makada wa chama

Tangazo: Tunanunua makada wa chama

Hahahahaha🙂🙂

ONYO: Hakikisha ukishachukua mkwanja wako hakuna kurudi nyuma vinginevyo wale watu wasiojulikana watakuwinda usiku na mchana na SMGs zao.

Atakaepata ujumbe huu amjulishe mwenzie, ufike kwenye ofisi zetu pale Kwamtogole, bei ni maelewano.
 
Mkuu angalau ungeweka rough figures ili tujipime kuliko kufika mpaka kwa mtogole hapo jengo la kulia kama unaenda magomeni halafu ukute huna vigezo.
Mkuu bei ni kutokana na uwezo na ushawishi wako katika jamii kama unaweza kupata kura nyingi 2020.
 
Atakaepata ujumbe huu amjulishe mwenzie, ufike kwenye ofisi zetu pale Kwamtogole, bei ni maelewano.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeifanyia kicheko jioni yangu. Thank you vere macheee ( in mama Anna Makinda's voice Le madame supika )
 
Atakaepata ujumbe huu amjulishe mwenzie, ufike kwenye ofisi zetu pale Kwamtogole, bei ni maelewano.
Hahahahahaahahaaa!
Pure artistry, aisee hicho kichwa cha habari umetisha sanaaaa!
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Nitumie dau lako kwa Mpesa yangu nitatangaza kujivua uanachama hapahapa hadharani.
 
Back
Top Bottom