Tangazo unalolipenda

Tangazo unalolipenda

Kwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2016
Posts
455
Reaction score
562
Binafsi kwa sasa napenda tangazo moja la vodacom ongea deilee sijui wewe ni lipi na ambalo silipendi ni la coca cola
 
Napenda la chanel 5 na kale kabajaji. Kanachotembea halafu silipendi la vodacom deile maana aliyetoa ile aidia hakutumia processor. Ya ubongo vizuri we mbongo gani atapiga dakika 10 kavukavu bila kujiunga mh
 
Napenda la Joti
"Si suala la kuelewana tu mke wangu? Nisameheee"
Daaah,la ukweli sana.
Nachukia la voda ongea deile,moja kati ya matangazo mabovu kabisa kuwahi kutokea.
 
tangazo la coca cola onja msisimko, nizurisana hasa varsion ya dimond cant resist it, najikuta naimbanaye
 
Napenda la Joti
"Si suala la kuelewana tu mke wangu? Nisameheee"
Daaah,la ukweli sana.
Nachukia la voda ongea deile,moja kati ya matangazo mabovu kabisa kuwahi kutokea.
Nilijua ni mimi tu, La Deile Jipu Wameboronga.
 
Coca cola hanaga matangazo mabaya they are very creative sanaa
Wako safiii
Ubaya ni pale mtu anakua haelewiii but ukulielewa unaenjoy
 
Back
Top Bottom