Tangazo unalolipenda

Tangazo unalolipenda

baby1; you look good today
baby2; you too
baby1; realy?
baby2; yep!
...............
tangazo la HIV free generation
 
tangazo la pich ya diamond kwny jamii forums... amekenua meno ad ananitisha vileee
 
"ngozi yako ni laini na nyololo"
"mh kama halili"
"hakika wewe unatumia REVOLA"
"Ni kwerii"

araf kinakuja kimziki [emoji445] tu li liiii [emoji445]

kitambo sana edhi hizo ITV ndo habari ya mjini na wanaomiliki tv wanaesabika kitaan

yule demu sasa wengne tulikuwa tunasema ni mtoo Wa MENGI wengne tunasema ni kiwete yaan ilikuwa shida sana
 
Kidawa anafanya nini kwenye group la ma ex wako?

na la Makapi....tin no mbona buree..
 
Kuna lile la internet bundle...kitu haki-shakeshake, ukigusa tuu unapigwa viwili...
 
Kuna tangazo la bia ya tusker waliimbaga JD, TID na wengineo daah! Mpaka leo nayafuta kale kawimbo
 
Back
Top Bottom