kutokana na adha,mateso na manyanyaso tunayopata kudai pesa zetu za kujikimu walimu wote wapya msingi na sekondari halmashauri ya magu naomba tukutane jumanne ktk ofisi za halmashauri kupata muafaka wa madai yetu. uonapo tangazo hili mjulishe na mwenzako walimu tuwe mfano ahsanteni.
Duu!!! Poleni! Mubebe na mapanga ,mashoka ,sime,mikuki,visu ,majembe na nyundo asitoroke hata mmoja hakikisheni mumefunga milango na mageti yote ya ofisi muanze na cashier !!! Watawapa wenyewe!! Haya shughuli njema walimu wangu! Aminia !!!