kutokana na adha,mateso na manyanyaso tunayopata kudai pesa zetu za kujikimu walimu wote wapya msingi na sekondari halmashauri ya magu naomba tukutane jumanne ktk ofisi za halmashauri kupata muafaka wa madai yetu. uonapo tangazo hili mjulishe na mwenzako walimu tuwe mfano ahsanteni.