Tangazo : Walioiba grenda ya huyu jamaa wairudishe. Kesho saa kumi mwisho wa Tangazo. Kitachofuata mtakiona.

Mpemba huyo akitangaza anatoa wiki moja tu, kisha anakwenda Pemba, kulia na mungu wake. Huwa anatangaza na anatoa muda ili asije laumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…