Nathibitisha taarifa ya
Baba V , kua ni sahihi.
Aidha nichukue fursa hii adhimu kumshukuru my Ex BN kwa kua msaada, pumziko na utulivu kwangu kwa muda wote tuliokua pamoja as a couple.
As a matter of fact kufuatia member
manoa kuchangia kwake ktk uzi huu, kwamba ananitaka Jugde kuwa mumewe mpya naomba
Baba V umpatie taarifa kua kutokana na utaratibu kikanuni wa imani (faith) yangu hainiruhusu mimi kua na mke wa gender yangu.
Aidha sina hakika pia kama tamaduni & mila za Jeiefu zaruhusu ndoa za aina hiyo!
Probably Mr
manoa kwakua inasemwa demand yako iko within human right hence bado unayo nafasi kuendelea kutafuta bwn maeneo mengine but si kwangu.