TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii


Samahanini wadau nilikua napita tu , nikasikia sauti ilioshamiri viashiria vyote vya m'bano wa pua! Ndo-mana nikageuka!
Nway endeleeni na yenu mi niko mitaa ya mbele.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kazi ya Baba V ni kuvunja ndoa au ni kuzifanyia mashauri ili zidumu na kudumu maana naona yeye anaongoza kwa kuzivunja
 
Last edited by a moderator:
Hivi kazi ya Baba V ni kuvunja ndoa au ni kuzifanyia mashauri ili zidumu na kudumu maana naona yeye anaongoza kwa kuzivunja

Niweke sawa hapa Mr Rocky ni hivi ;
Baba V hana mandate or power of attorney ya kuvunja kopo za wenyewe!
Unless sisi wavunjaji ndiyo tufikishao seekin zetu za uvunjaji mezani kwake. Yeye huombwa for makin announcement .
 
Last edited by a moderator:
Tuna kikao cha familia,yakitushinda tutayaleta kwenye kamati!

Kuna kamati ipo imeundwa kushughulikia matatizo yenu...... sharti mnakuja moja moja mnaonana na mwenyekiti wa kamati na makamu wake
 
Kuna kamati ipo imeundwa kushughulikia matatizo yenu...... sharti mnakuja moja moja mnaonana na mwenyekiti wa kamati na makamu wake

Mwelekeo mpaka sasa ni kwamba,issue zitaishia home!!
 
Mungi mbona kama hii kamati ni ya mengineyo?
Sasa kama mimi na Filipo tutakuwa tumemaliza issue zetu,tuonane na nyie faragha kwa nini?
Lily Flower anafahamu haya mambo?

Mambo hayaishi hivi hivi bila kukutana na kamati............... Lily Flower anafahamu kuwa nipo kikazi zaidi so hana wasiwasi na mimi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…